Pages

Wednesday, November 16, 2011

Iguazu Falls chosen as one of the natural seven wonders of the world

4 comments:

Anonymous said...

sisi tunaweza wizi na uongo, wavivu sana

hapa tumepigwa bao, watajitia walikuwa busy na katiba-

Anonymous said...

yani inakera sana, hata kwa kuangalia tu, huwezi linganisha mlima Kilimanjaro na Table Mountains

so sad

Anonymous said...

yani inakera sana, hata kwa kuangalia tu, huwezi linganisha mlima Kilimanjaro na Table Mountains

so sad

Anonymous said...

Aibu sana.sasa na hawa Clouds walikuwa wapi kutuambia siku zote mpaka sasa ndio wanalaumu mawazir?

hivi wao pia si ni jukumu lao kutangaza, au mpaka watu wanunue kipindi?

CHELLOU STUDIO

CHELLOU STUDIO
PALMS RESIDENCE CHIMARA STREET