Pages

Thursday, May 10, 2012

CHELLOU DIGITAL -

PALM RESIDENCE-CHIMARA ROAD NEAR OCEAN ROAD HOSPITAL.

TUNAPIGA PICHA ZA KILA AINA.KARIBUNI SANA MAHARUSI WATAPATA BAHATI YA KULIPIWA HONEYMOON.

WAHI SASA WATEJA MIA KWANZA WATAPATA ZAWADI KUBWA NA ZENYE THAMANI.

TUPIGIE
0772 444299- AU 07772 280 674









KARIBUNI SANA.

STUDIO YA KISASA IMEFUNGLIWA PALMS RESIDENCE NEAR OCEAN ROAD HOSPITAL.
KARIBUNI SANA TUNAPIGA PICHA ZA MAHARUSI-PIA MAHARUSI WANA CHUMBA CHA KUPUMZIKIA .

TUNAFANYA MOBILE STUDIO-MODELING-FUNERAL SHOOTING-STUDIO FACILITIES-WEDDING PORTRAITS.PASSPORT SIZE ZA KILA AINA-RED EYE REMOVAL NA KADHALIKA

TUPIGIE 0772 444299/0777280674

KARIBUNI SANA.







Friday, April 6, 2012

KANUMBA THE GREAT-UNCLE JJ AFARIKI DUNIA USIKU WA IJUMAA KUU

Habari ambazo zimethibitishwa kuwa The Great Kanumba amefariki Dunia usiku wa Ijumaa kuu.
Mwandishi wa habari hii amethibitisha hilo baada ya kuona mwili wake ukiwa ndani ya Gari bwa jeusi aina ya Lexus ukiingizwa Hospitali ya Muhimbili

Ilikuwa ni Majonzi makubwa wana filamu wakiwa katika hali ya mshutuko,huku Richie richie akilia kwa uchungu na kusaidiwa na dada ambaye jina lake halikuweza kupatikana.

Kanumba ni Msanii aliekuwa amejitoa sana katika kazi za kijamii pia

Lala salama Kanumba utakumbukwa kwa mengi sana hakika watanzania huu ni msiba mkubwa sana

TASNIA YA FILAMU IMEPOTEZA MTU ALIEPENDWA SANA




R.I.P OUR KANUMBA

REST IN PEACE THE GREAT

Wednesday, March 7, 2012

MAJONZI MAKUBWA HAKIKA SAFARI YA MWISHO YA JANE IMETIMIA

 Familia ya Mhandisi Gabriel Mponzi katika misa ya kumuombea Marehemu Jane kabla ya safari ya Ipamba Kuanza
 Ben Mponzi akisoma Historia fupi ya Dada yake Jane Mponzi
Lala Salama Jane hii ni njia ya wote-tutakukumbuka sana kwa ucheshi wako

Rest in Peace Jane Gabriel Mponzi

                       Waombolezaji wakina na nyuso za simanzi-hakika ilikuwa ni huzuni kubwa
 Mheshimiwa Mama Rwakatale naye alikuwepo kutoa heshima ya mwisho kwa Jane

CHELLOU STUDIO

CHELLOU STUDIO
PALMS RESIDENCE CHIMARA STREET