Habari ambazo zimethibitishwa kuwa The Great Kanumba amefariki Dunia usiku wa Ijumaa kuu.
Mwandishi wa habari hii amethibitisha hilo baada ya kuona mwili wake ukiwa ndani ya Gari bwa jeusi aina ya Lexus ukiingizwa Hospitali ya Muhimbili
Ilikuwa ni Majonzi makubwa wana filamu wakiwa katika hali ya mshutuko,huku Richie richie akilia kwa uchungu na kusaidiwa na dada ambaye jina lake halikuweza kupatikana.
Kanumba ni Msanii aliekuwa amejitoa sana katika kazi za kijamii pia
Lala salama Kanumba utakumbukwa kwa mengi sana hakika watanzania huu ni msiba mkubwa sana
Mobile Studio-Video Shooting-Studio Facilities-Modeling-Wedding Portraits Photo Card-Printing Facilities:-Mag-Crystal-Name Beg-T shirts-Photo Calendars-Fast Reprint-Instant Photo to Photo-Passport Size. etc K A R I B U N I - S A NA